|
I just want to be success and not billionaire,
Nataka kufanikiwa na si kua Bilionea
And forget about those friends that when you're down they don't really care,
Niwasahau marafiki wote wale ambao ukiwa huna kitu Hawakujali
Sometimes I feel like I’m nothing, I feel like I’m nothing, no! no! no! No! no! no! I can do
something in my life.
Muda mwingine najihisi sio Kitu ,najihisi sio Kitu ,Hapana! Hapana! Hapana! Hapana! Hapana!
Ninauwezo wa kufanya Kitu maishani mwangu
My mama keep telling me "you can do it"
Mama yangu huniambia "unaweza kufanya"
Nifanye ninavyoweza ,there is no limits
I do what I can, hakuna mipaka,
Mafanikio huja kwa mikono nipambane.
Success comes with hands wins.
My young sister looking at me, and I can feel it
Mdogo wangu wa kike ananitazama, hali hii inanigusa
Nifanye Ninachoweza there is no limits
I do what I can, hakuna mipaka,
Mafanikio huja kwa mikono nipambane.
Success comes with hands wins
Chorus.
Kid from the street ,walking all day ,I know it's gonna be so Hard but I'll be there.
Mtoto kutoka mtaani ,natembea mchana kutwa,najua itakua ni ngumu sana lakini nitafika
Kama sifiki, mbona sikosei!?
As an immigrant, why not?
I know it's gonna be so hard but I'll be there,
Najua itakua ni ngumu sana lakini Nitafika
Temptation! Temptation! Temptation! Temptation! Temptation! Temptation!
Majaribu! Majaribu! Majaribu! Majaribu! Majaribu! Majaribu!
I know it's gonna be so hard but I'll be there
Najua itakua ngumu sana lakini nitafika
Kid from the street walking all day I know it's gonna be so Hard but I'll be there.
Mtoto kutoka mtaani ,natembea mchana kutwa ,najua itakua ngumu sana lakini nitafika.
Kama sifiki mbnona sikosei!?

Najua itakua ngumu sana lakini nitafika!
Temptation! Temptation! Temptation! Temptation! Temptation! Temptation!,
Majaribu! Majaribu! Majaribu! Majaribu! Majaribu! Majribu!
I know it's gonna be alright
Najua kila Kitu kitakua Sawa.
Verse 2
You can see what they can’t see in your life,
Unaweza kuona ambacho hawawezi kuona katika maisha yako,
You can be what you want to be, you better keep up yeah
Na unaweza kua unachotaka kua ,ni vyema ujitahidi yeah!
Hiyo ni sauti isiyonitoka kwa kichwa ,sauti ya Dady kabla
hajatutoka.
That's the voice that never leaves my head, the voice of my father right before he left us.
Najitahidi kua mwepesi wa kujifunza "Kujifunza
I am trying to be quick to learn
Kusubiri sina budi nisipoteze muda " Wangu muda
I have to be patient and not waste time
Najitahidi kua mwepesi wa kujifunza "kujifunza
I am trying to be quick to learn
Kusubiri sina budi nisipoteze muda " Oooh muda ..
I must be patient and not waste time.. Oooh my time..
Chorus x 2